Na Shahidu
jamii imetakiwa kupanda miti kwa wingi kupambana na mabadilko tabia nchi,nishahidu kyagulani kagera.miaka ya hivi karbuni maeneo kadha nchini yamekumbwa na ukame mkubwa unao sababisha kuepo kwa balaa lanjaa uoto wa asir ktoweka nk.pr ofesa aulelia kamzora wa chuo kikuu mzumbe aliamua kuanzisha shirka la green education for poverty aleviation gepat.kwalengo la kuhamasisha upandaji mit kwawingi ili kujinasua na majanga hayo,mradi huo ulianza mwaka 2o6 katka walaya yakargwe eneo la rwambaizi.likiwa na vitaru 1o,na kufka sasa zaid ya vitaru 2oo,vipo na vinahudumia wananchi wa wilaya za kargwe na kyerwa, profesa kamzora ambaye ni mkurugenzi shirka hilo,amesema wanafanya kazi na wabia wa wilaya za mkoa kagera kama vile masisita wa ushirka mtakatifu terza,mapadr jimbo la bk,rurenge,kigoma na sumbawanga,haiza bikamzora ameongeza kusema kwamba wanashirkiana na taasisi za ndani nanje ikiwemo chuokikuu mzumbe,na vyuo vya groningen cha uholanz,chuo kikuu cha siena itaria na china ambapo mwaka huu ushirka wa vyama hivyo utaendeleza upimaji wa hewa ya ukaa,carbonstock inventorzation, bi kamzora almaza kua mwaka huu pia watakua nakazi ya upandaji mit ukanda wa magharbi green brdge program,ikiwa ni mikoa ya kagera,kigoma ,katavi na sumbawanga,,shirka hil tangu lianze jamii inayo zunguka maeneo ya ilpo ofisi hiyo kituntu karagwe imenufaika zaid na mradi huo,kwakupewa miti bure ambayo itasaidia sikulinda mazngira tu bal hata,kunufaika sku za usoni, kwa upande wa taass zinazo nufaika na mradi huo ni pamoja na shule ya msingi kinyinya iliyoko kata ktuntu wilaya karagwe,

No comments:
Post a Comment