gera diwani cup yapamba moto,nashahidu kyagulani misenyi kagera. mashindano ya soka yanayo endeshwa na diwani kata gera iliyoko tarafa kizba wilaya miseny mkoani kgera imezdi kushika kas ambapo tmu ya soka ya kashambya fc.iliwafunua watoto wa shule ya sec kwa kuwafunga mabao 2,o.kufatia ushindi huo timu ya kashambya imefufua matumaini ya kuingia hatua ya mtoano kufatia kumalza michezo yake 2 ikiwa na point 3 na magol 2,nyuma ya kashaka yenye point kama hizo ila kashaka imecheza mchezo mmoja tu wa awali ilpo fanikiwa kuishinda kashambya mabao 2 ka buyu.kufatia matokeo hayo kashambya sasa ina subir mchezo wa mwisho kat ya kashekya na vijana wasec ambapo kashekya wao wanaitaj sare pekee ili waweze kua vinara wakundi hilo la b.lenye tmu 3,na kwaupande wa vijana wa sec wanaitaji ushindi zaid yamagor 3.kuwapiku kashambya na kashaka,mashindano hayo ambayo yanahusisha tmu 6 zenye makundi 2 ambapo kila kundi timu 2 za mwanzo zitafuzu hatua ya nusu fainal.mashindano hayo yanadhaminiwa na diwani kata gera hener bitegeko.
Monday, March 12, 2018
New
NSHAMBYA FC YAICHEZESHA KINDUMBWE NDUMBWE SHULE YA SECONDARY GERA>>
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment