LAKE FC YAPIGWA TATU KWA NUNGE LICHA YA KUTUMIA NYOTA WAKE MUHIMU , ZIJUE SABABU ZA WAO KUPOTEZA MECHI HII>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Sunday, March 18, 2018

LAKE FC YAPIGWA TATU KWA NUNGE LICHA YA KUTUMIA NYOTA WAKE MUHIMU , ZIJUE SABABU ZA WAO KUPOTEZA MECHI HII>>

Lake fc wenye masikani yao mkoani kagera wanafanyia mazoezi katika viwanja vya Lake view secondary leo hii wamekutana na wababe wao Makilikili walio walaza gol 3 - 0 katika uwanja wao wa nyumbani ulioko Kusin mwa mji wa Bukoba.

Lake fc licha ya kuwatumia nyota wake wote muhimu walijikuta wakiadhibiwa kwa kipigo icho ambacho hakikuwahi kutoke toka timu hiyo imeanzishwa,

Kasulu wadau imeongea na katibu wa timu hiyo ambaye ndie msemaji wa timu hiyo kikatiba tukitaka kujua nini kinafuata baada ya mechi hii kupoteza,

Haya ndio maneno take " Mpira wa miguu ni mchezo ambao mwenzako akizichanga vizuri kukuzidi atapata ushindi kwa hio wao wamezichanga vizuri wameshinda na tutarudiana tena na sisi tutawafunga"

Hayo ndiyo yalikuwa mazungumzo yetu na tusubili watakapocheza tena watafanya nini Ama watakubali kupigwa au watalipiza.


No comments:

Post a Comment