SAMATTA TENA KURAJEA DIMBANI , APIGA MAZOEZI YA NAMNA HII>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Sunday, January 7, 2018

SAMATTA TENA KURAJEA DIMBANI , APIGA MAZOEZI YA NAMNA HII>>

Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta tayari ameanza mazoezi ya uwanjani baada ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili.

Samatta ameanza mazoezi na kikosi cha KRC Genk cha Ubelgiji baada ya kupata nafuu kubwa kupitia matibabu yakiwemo mazoezi ya gym.

Kurejea kwa Samatta ni faraja kubwa kwa KRC Genk ambayo ilikuwa imepwaga katika safu ya ushambulizi.



Lakini faraja hiyo itateremka hadi katika kikosi cha Taifa Stars ambacho kinamtegemea katika ufungaji.

No comments:

Post a Comment