HII HAPA BAADA YA EMMANUEL MARTIN KUIBEBA YANGA JANA>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, January 8, 2018

HII HAPA BAADA YA EMMANUEL MARTIN KUIBEBA YANGA JANA>>

Yanga imeendeleza vipigo katika Kombe la Mapinduzi baada ya kuitwanga Zimamoto kwa bao 1-0.

Emmanuel Martin ndiye shujaa wa Yanga baada ya kufunga bao katika dakika ya 60 na kuifanya Yanga kuzidi kujishindilia kileleni mwa kundi.


Zimamoto ilikuwa katika hali nzuri na inaonekana ilipania kuisimamisha Yanga lakini mwisho, mabingwa hao wa Tanzania Bara ndiyo wakaibuka na ushindi.

No comments:

Post a Comment