YANGA YATANGAZA KAMATI YA MABADILIKO KUPITIA KWA CLEMENT SANGA LEO 22 DECEMBER - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Friday, December 22, 2017

YANGA YATANGAZA KAMATI YA MABADILIKO KUPITIA KWA CLEMENT SANGA LEO 22 DECEMBER

Kamati ya mabadiliko - Yanga SC iliotangazwa leo hii na Kaimu Mwenyekiti Clement Sanga kwenye mkutano na waandishi wa habari.

1. Alex Mgongolwa -  m/kiti - mwanasheria

2. Prof Mgongo Fimbo - mtaalam wa katiba na sheria za ardhi

3.  Meki Sadiki - mkuu wa mkoa mstaafu

4. Mohamed Nyenge - mchumi na m/kiti kamati ya uchumi na fedha - Yanga

5. George Fumbuka -  mshauri masuala ya uwekezaji

6. Felix Mlaki - mchumi na mtaalam wa masuala ya fedha

No comments:

Post a Comment