BAADA YA YANGA NA SIMBA KUSHINDWA KUMNASA MCHEZAJI HUYU SASA SINGIDA UNITED YAWAZUNGUUKA NA KUMLAMBISHA WINO>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Friday, December 22, 2017

BAADA YA YANGA NA SIMBA KUSHINDWA KUMNASA MCHEZAJI HUYU SASA SINGIDA UNITED YAWAZUNGUUKA NA KUMLAMBISHA WINO>>

Klabu ya Singida United  “The Sun Flowers” yenye masikani yao mkoani Singida hii leo imekamilisha usajili wa Mchezaji Malik Antri kutoka Ghana.

Antri ameshawasili nchini tayari kwa kuitumikia Singida United ambayo inapambana kulitwaa kombe la Ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2017/2018.

Antri ambaye ambaye ameitumikia timu ya Taifa ya Ghana kwenye Michuano ya CHAN anachukua nafasi ya Elisha Muroiwa aliyerejea kwao Zimbabwe kufuatia matatizo ya kifamilia yanayomsumbua.

Pichani ni Mchezaji Antri jezi namba 3 akiwa anaitumikia timu yake ya Taifa ya Ghana kwenye michuano ya CHAN.

No comments:

Post a Comment