TANZIA: Mwanafunzi UDOM afia juu ya kifua cha mwanamke wakati akifanya tendo la ndoa - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Wednesday, November 8, 2017

TANZIA: Mwanafunzi UDOM afia juu ya kifua cha mwanamke wakati akifanya tendo la ndoa

Tanzia: Mwanafunzi wa UDOM afia juu ya kifua cha mwanamke wakati wa Tendo pendwa
Habari

Kuna taarifa ya kusikitisha! Mmoja wa wahitimu wa udom 2017 amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa nyumba ya kulala wageni.

Chanzo:
Alitumia viagra vidonge vitatu (3).

Kifo chake kilitokea baada ya mwenzake jinsia ya kike akiwa ameshindwa kumudu shughuli ya tendo la ndoa kulingana na dawa hizo kuwa zaidi ya kiwango husika.

Kwao na marehemu ni Magu mkoani Mwanza.

Rai yangu:
Vijana tujaribu kuwa waangalifu hususani na dawa za aina hii, na wengi huwa wanadhani wanataka kukomoa.

Tubadilike katika hili, elimu sio darasani pekee.

Nb:
Wale wa mambo ya m-congo kuweni makini pia.
Kiustaarabu sio vyema kusema kitivo alichosomea wala jina lake.
Niwatakieni asubuhi njema.

Ahsanteni
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/24329869/

No comments:

Post a Comment