Baada klub kubwa nchini Simba Fc kutoa sale DHIDI ya Nyundo sasa leo hii inaangukia mikononi mwa Rukwa Fc timu ambayo ipo kwenye kiwango kizuri.
Simba licha ya kuwa na kikosi kipana na chenye kujituma uwanjani kinakwenda kujipima ubavu na Rukwa Fc ambayo iko Daraja la tatu timu ambayo ndio inachipuka huenda ikailaza simba kwa kichapo ambacho kitampa mawazo Omog.
Karibu

No comments:
Post a Comment